John 21:17

17 aKwa mara ya tatu Isa akamuuliza Petro, “Simoni mwana wa Yohana, unanipenda?”

Petro akahuzunika sana kwa kuwa Isa alimuuliza mara ya tatu, “Unanipenda?” Akamjibu, “Bwana, wewe unajua yote, unajua ya kuwa ninakupenda.”

Isa akamwambia, “Lisha kondoo wangu.
Copyright information for SwhKC